Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo asabuhi nilukuwa napiga simu kwa jamaa yangu sikuweza kumpata hewani.Cha ajabu nikaunganishwa na huduma ya kuacha ujumbe pale palsikujua ni nini kinaendelea kumbe jamaa tayari wanakata chao .Sasa kana sio wizi nini unampa mteja huduma ambayo hakuihitaji na bila idhini yake mnakata hela.Ukipiga customer care 0713800800 ndio balaaa kabisa wanaanza kukata hewa pale tu unapojibiwa na sauti zao za kurekoti na utakuwa na bahati ya mtende kama simu yako itajibiwJe huu sio wizi wadangajika wenzangu.na kama ni wizi tutaukomeshaje?
Ningependa kukwambia kwamba sio kila saa kwamba Tigo wanakuibia.. hiyo huduma iko mpaka ulaya lakini naona wabongo bado hamjaijua. Ukipiga simu ya rafiki yako na haipatikani unaweza kumachia message kwenye answering machine na badaaye akiwasha simu ataipata message yako na kukucontact...Tigo hawakuibii!!
hahaaa..ya msasani ndio ipoje ...umenifurahisha kwelikanifurahisha kumtimua yule Alpha baada ya kusema mambo yake ya mapenzi hawezi kuongea redioni coz ni private wakati kaenda kipindi cha mahab mwenyewe
nadhani bange anayovuta huyu dada siku hizi sio ile ya arusha wala mbeya, labda ya msasani
[h=1]The One Diva Loveness Love[/h]ni mtangazaji wa redio clouds mwenye mikogo ya hali ya juu ......diva ndo nani?..
tueleweshane manake nasikia siku hizi hadi zembwela ni mtangazaji wa redio hapo daslama..!
redio-eclipse!