Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Diva is always on point. She just needs to work on presenting her points better so there is orderly continuity. Otherwise, I feel her sentiments.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we nuktawe koma
Kila mtandao sasa mtauponda,mlianza na aitel,voda sasa tigo. Mi naona wote wezi tu,kama nchi yetu ilivyojaa majambazi.
MKUU, si unajua tena simu (calls) zetu wabongo! Utasikia; "nimekupigia nikusalimie!" shenzi taipu! Kwa hiyo, mtu kama huyo hawezi kuona umuhimu wa kuacha ujumbe!
Nimeamua niuze sim card yangu ya tgo.
Leo asabuhi nilukuwa napiga simu kwa jamaa yangu sikuweza kumpata hewani.Cha ajabu nikaunganishwa na huduma ya kuacha ujumbe pale palsikujua ni nini kinaendelea kumbe jamaa tayari wanakata chao .Sasa kana sio wizi nini unampa mteja huduma ambayo hakuihitaji na bila idhini yake mnakata hela.
Ukipiga customer care 0713800800 ndio balaaa kabisa wanaanza kukata hewa pale tu unapojibiwa na sauti zao za kurekoti na utakuwa na bahati ya mtende kama simu yako itajibiw
Je huu sio wizi wadangajika wenzangu.na kama ni wizi tutaukomeshaje?
mbona ni system ya kawaida sema ugeni wa wabongo ndo unasababisha malalamiko.Mtu hapatikan acha ujumbe issue simple hata USA hii ipo.I love tigo
...Hawana kitu mbwembwe tu. Jana jioni nilikuwa nampigia simu mtu lakini ikawaonyesha kuwa aidha imezimwa au haiko mtandaoni. Kurudi kucheki salio wamelamba jero ah! nilishangaa sana.Nimechoka zaid pale wanaposema ni robo shilingi kuanza saa4 yan 0.25 kumbe wanakata robo tatu ya shiling yan 0.75!! Naihis wameshafiriska ndo mana wanafanya hv!
Leo asabuhi nilukuwa napiga simu kwa jamaa yangu sikuweza kumpata hewani.Cha ajabu nikaunganishwa na huduma ya kuacha ujumbe pale palsikujua ni nini kinaendelea kumbe jamaa tayari wanakata chao .Sasa kana sio wizi nini unampa mteja huduma ambayo hakuihitaji na bila idhini yake mnakata hela.
Ukipiga customer care 0713800800 ndio balaaa kabisa wanaanza kukata hewa pale tu unapojibiwa na sauti zao za kurekoti na utakuwa na bahati ya mtende kama simu yako itajibiw
Je huu sio wizi wadangajika wenzangu.na kama ni wizi tutaukomeshaje?
uko uliko hamia ni afadhari ya tgo.Bado una2mia Tigo 2,wenzio 2mehama cku miiing?
Ningependa kukwambia kwamba sio kila saa kwamba Tigo wanakuibia.. hiyo huduma iko mpaka ulaya lakini naona wabongo bado hamjaijua. Ukipiga simu ya rafiki yako na haipatikani unaweza kumachia message kwenye answering machine na badaaye akiwasha simu ataipata message yako na kukucontact...Tigo hawakuibii!!