Tigo na voda bwaana, wameamua wafiche vifurushi, wakafikiri hatutawaona *149*48#

Tigo na voda bwaana, wameamua wafiche vifurushi, wakafikiri hatutawaona *149*48#

Nilijaribu kupiga izo namba apo juu huenda nikapata zari na mm...[emoji39]
 
Voda wa uongooo mi line yangu ninatupa kule mmenishinda kwa kweli
 
Back
Top Bottom