Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi
Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel
Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi kinyume na maumbile
Sasa limebadilishwa na kuwa Yas .. Watu wameshafukunyua na kulitafsiri kuwa lina vinasaba na ushoga.
Tayari linataka kutoholewa liitwe Nyashi ambapo kwa Wakenya nyasi ni makalio.
Je, wamiliki wataweza kujinasua kwenye hili tope la umaarufu hasi?