Tigo na Yas, Lila na fila

Tigo na Yas, Lila na fila

Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi

Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel

Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi kinyume na maumbile

Sasa limebadilishwa na kuwa Yas .. Watu wameshafukunyua na kulitafsiri kuwa lina vinasaba na ushoga.

Tayari linataka kutoholewa liitwe Nyashi ambapo kwa Wakenya nyasi ni makalio.

Je, wamiliki wataweza kujinasua kwenye hili tope la umaarufu hasi?
Tangu zamani huu mtandao ulianza kuonyesha dalili za ushoga
 
Majina yote ya huu mtandao yana utata sana kuanzia Mobitel (Kimobiteli-Mwanamke machepere), tukaja Buzz (sisi tunaita Buzi-Mwanaume muhongaji), tukatembea na Tigo iliyotuletea Makalio yanayoingiliwa, sasa tupo na Yas ambayo huko kwa walatino ni neno linalomaanisha utamu anaoupata shoga.

Majina ya hawa jamaa yapo sambamba na misemo ya ngono huku soko lao kuu ni vijana
Aisee ni kweli kabisa 😂
 
Wameomba radhi
20241201_064942.jpg
20241201_064936.jpg
 
Acheni kuvuruga biashara za watu. Au mmetumwa na washindani wao?
 
Na hiyo mix by yas ni kama kusema mix my ass , Naona kama ina sound the same

All in all mtandao unasumbia sana. Mpaka sasa napata kinywaji sijui nalipaje na hela ipo kwenye simu
Hahahhaah.. Nimecheka kweli.... At mix my... Watu mna maneno
 
Si hao tu......kuna wengine wana slogan ati ''KITU KIMESIMAMA'',,,,,astakafir walahi...
 
Back
Top Bottom