Tigo na Yas, Lila na fila

Hawana ubavu hata chembe kulikataa. Tayari walishapata kibali cha BRELA . hao ndio walipaswa kulikataa in the first place
 
Tungekuwa na wafanyakazi competative BRELA . Cha kwanza wangefanya utafiti wa hilo jina kabla ya kulipitisha.. Lakini kwenye hizi taasisi za serikali kinachoangaliwa na kupewa kipaumbele ni maokoto. Urefu wa kamba😭🤬
Tuna maelfu ya bidhaa ziko chini ya viwango lakini zina nembo ya TBS..,🥺🤔
 
Ni kama kuna mwamba kaondoka na file muhimu..kila kitu hakiko sawa tena.
 
Nyash ndiyo ina sound vizuri waachane na hiyo yas
 
Mmh
 
Nyashi ni makalio kwa wanaijeria.

Wakenya wameiga tu
 
Majina yote ya huu mtandao yana utata sana kuanzia Mobitel (Kimobiteli-Mwanamke machepere), tukaja Buzz (sisi tunaita Buzi-Mwanaume muhongaji), tukatembea na Tigo iliyotuletea Makalio yanayoingiliwa, sasa tupo na Yas ambayo huko kwa walatino ni neno linalomaanisha utamu anaoupata shoga.

Majina ya hawa jamaa yapo sambamba na misemo ya ngono huku soko lao kuu ni vijana
 
Mnazani nini kimepelekea jina kibadilishwa unazani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…