Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialist economy

Yaani mtu auze kampuni inayomiliki Tigo pesa? Haiwezekani, hiyo ni kubadilisha jina tu ili kukwepa kodi. Hawa walikuwa Mobitel, wakawa Buzz,wakaja Tigo, sasa sijui watakuwa nani..
 
Kutokana na ushindani na mwelekeo wa Biashara ya mawasiliano, yatabaki makampuni Mawili tu huko mbeni
Itakuwa vizuri maana ni usumbufu sana, binafsi nilikuwa na laini moja tu miaka kadhaa.....ila bundles zimenisababisha nina laini 4,ila 3 navizia kwenye bundles za Internet tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…