Labda kuna huduma ambazo zilitakiwa zipatwe na wateja kwakugharimia sasa inatokea zinakuwa bureee ndo kamaanisha hivyo labda wengine hawajui mambo ya business strategy,
mfano: voda unaweza ukawa ukitanguliza namba........kabla ya 0745 unaweza kuongea bureeee na vitu kama hivyo. au uki weka APN ............ una download mpaka basi kwa sh 20 tu! au ukiweka code furani speeed inakuwa 97kb/s vitu kama hivyo.
Hali kama hiyo inaweza ikawa imemuuzunisha jaama akaona labda kampuni yake kipenzi ya tiGO inaingia hasara hivyo anamapenzi mema na tiGO au labda kwa vile ndio kampuni inayotoa huduma anajaribu kuwakumbusha ili asije akasikia tiGO imefilisika na inataka kufungwa kama Tritel nahisi kuwa hapendi kusikia hivyo.
Karibu Wun endelea kutupa news.
kauli yako inahitaji ufafanuzi.habari zenu wanajf katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu tigo ndiyo inayoongoza kuibiwa tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanajf naomba maoni yenu.
pole pole mkuu.huyu jamaa mzushi kwani aseme hasara ambayo hajaweza ku-qualify argument yake. Hapa si mahala pa fikra na hoja hafifu au si mahala pa watu wenye uelewa mdogo ni mahala pa watu wanaofikiri ndani na nje ya boksi atiii!
Hebu sasa fafanua ili tukusaidie hoja na fikra chanya!
Tumegee basi na sisi tufaidike au ndo bussiness strategy????
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanaJF naomba maoni yenu.
...Inanikumbusha enzi za kubadirisha centre number kila kukicha kisa kuogopa kulipia sms.........Hata leo watu wamejiunga na huduma ya EXTREME kwa shs. 90 badala ya 1500
Wasipokuwa waangalifu watakoma si tunapiga bure tu
Tatizo siyo kushare na wateja wao tatizo inatia uchumgu mtandao wa bei rahisi kuja kufilisika kwa kuibiwa kuna watu wanatumia hudumu ya extreme zote bure siyo hiyo tuu hadi internet bure so hapo ndiyo maana yanguMakampuni ya simu yanapata faida kubwa ya kukufuru kwa sasa. Ona mishahara ya baadhi ya watumishi wao, Kwa mfano Voda, meneja masoko analamba millioni 10 kwa mwezi, wa chini kabisa millioni 1. Hivyo TIGO wameamua kushea faida na wateja wake wake. Tatizo lako nini?