Wun
JF-Expert Member
- Jun 16, 2008
- 358
- 72
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanaJF naomba maoni yenu.