Tigo ni mtandao unaubiwa kuliko yote tz

Tigo ni mtandao unaubiwa kuliko yote tz

Wun

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
358
Reaction score
72
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanaJF naomba maoni yenu.
 
Unaweza ukafafanua hasara wanaipata kivipi? Inatokana na poor business strategy, insufficient control au ni nini?

Kumbuka hakuna kampuni inayofanya promotion bila kufanya market research,kuwa na strategy na kuwa targets. Sasa tueleze kwanza "research" yako ime-base kwenye nini ili tuweze/niweze kutoa maoni kwa ufasaha zaidi.
 
Huyu jamaa mzushi kwani aseme hasara ambayo hajaweza ku-qualify argument yake. Hapa si mahala pa fikra na hoja hafifu au si mahala pa watu wenye uelewa mdogo ni mahala pa watu wanaofikiri ndani na nje ya boksi atiii!

Hebu sasa fafanua ili tukusaidie hoja na fikra chanya!
 
Labda kuna huduma ambazo zilitakiwa zipatwe na wateja kwakugharimia sasa inatokea zinakuwa bureee ndo kamaanisha hivyo labda wengine hawajui mambo ya business strategy,
mfano: voda unaweza ukawa ukitanguliza namba........kabla ya 0745 unaweza kuongea bureeee na vitu kama hivyo. au uki weka APN ............ una download mpaka basi kwa sh 20 tu! au ukiweka code furani speeed inakuwa 97kb/s vitu kama hivyo.

Hali kama hiyo inaweza ikawa imemuuzunisha jaama akaona labda kampuni yake kipenzi ya tiGO inaingia hasara hivyo anamapenzi mema na tiGO au labda kwa vile ndio kampuni inayotoa huduma anajaribu kuwakumbusha ili asije akasikia tiGO imefilisika na inataka kufungwa kama Tritel nahisi kuwa hapendi kusikia hivyo.

Karibu Wun endelea kutupa news.
 
They would have closed down by now if they were operating with a loss maana its time now since hiyo extreem imeanza!
 
Makampuni ya simu yanapata faida kubwa ya kukufuru kwa sasa. Ona mishahara ya baadhi ya watumishi wao, Kwa mfano Voda, meneja masoko analamba millioni 10 kwa mwezi, wa chini kabisa millioni 1. Hivyo TIGO wameamua kushea faida na wateja wake wake. Tatizo lako nini?
 
Labda kuna huduma ambazo zilitakiwa zipatwe na wateja kwakugharimia sasa inatokea zinakuwa bureee ndo kamaanisha hivyo labda wengine hawajui mambo ya business strategy,
mfano: voda unaweza ukawa ukitanguliza namba........kabla ya 0745 unaweza kuongea bureeee na vitu kama hivyo. au uki weka APN ............ una download mpaka basi kwa sh 20 tu! au ukiweka code furani speeed inakuwa 97kb/s vitu kama hivyo.

Hali kama hiyo inaweza ikawa imemuuzunisha jaama akaona labda kampuni yake kipenzi ya tiGO inaingia hasara hivyo anamapenzi mema na tiGO au labda kwa vile ndio kampuni inayotoa huduma anajaribu kuwakumbusha ili asije akasikia tiGO imefilisika na inataka kufungwa kama Tritel nahisi kuwa hapendi kusikia hivyo.

Karibu Wun endelea kutupa news.

Tumegee basi na sisi tufaidike au ndo bussiness strategy????
 
habari zenu wanajf katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu tigo ndiyo inayoongoza kuibiwa tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanajf naomba maoni yenu.
kauli yako inahitaji ufafanuzi.
 
huyu jamaa mzushi kwani aseme hasara ambayo hajaweza ku-qualify argument yake. Hapa si mahala pa fikra na hoja hafifu au si mahala pa watu wenye uelewa mdogo ni mahala pa watu wanaofikiri ndani na nje ya boksi atiii!

Hebu sasa fafanua ili tukusaidie hoja na fikra chanya!
pole pole mkuu.
 
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama internet na zenginezo sijui ni kukosa umakini au hawana mitambo ya kisasa katika kampuni yao...wanaJF naomba maoni yenu.

Ingependeza sana kama ungetuwekea takwimu za kutosha za hasara ama faida, ili kuhalalisha madai haya!
 
Hata leo watu wamejiunga na huduma ya EXTREME kwa shs. 90 badala ya 1500
Wasipokuwa waangalifu watakoma si tunapiga bure tu
 
Tigo ndio waanzilishi wa package yeyote mpya kuanzia internet hadi extreme hawawacharge wateja wao hela za kufadhili mpira sijui miss tanzania wana wanashare profit na weteja wao kwa kuwapa package zenye unafuu kuliko mitandao mingine inayojitapa kama huamiani waulize watu hakuna asiye na laini ya tiGO

Kama una lolijua zaidi tumwagie hapa usificheche We dare talk openly
 
Hata leo watu wamejiunga na huduma ya EXTREME kwa shs. 90 badala ya 1500
Wasipokuwa waangalifu watakoma si tunapiga bure tu
...Inanikumbusha enzi za kubadirisha centre number kila kukicha kisa kuogopa kulipia sms.........
 
Makampuni ya simu yanapata faida kubwa ya kukufuru kwa sasa. Ona mishahara ya baadhi ya watumishi wao, Kwa mfano Voda, meneja masoko analamba millioni 10 kwa mwezi, wa chini kabisa millioni 1. Hivyo TIGO wameamua kushea faida na wateja wake wake. Tatizo lako nini?
Tatizo siyo kushare na wateja wao tatizo inatia uchumgu mtandao wa bei rahisi kuja kufilisika kwa kuibiwa kuna watu wanatumia hudumu ya extreme zote bure siyo hiyo tuu hadi internet bure so hapo ndiyo maana yangu
 
Back
Top Bottom