wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Tumia ile namba yao ya vodaTigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu