Tumia ile namba yao ya vodaTigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
Acha utani mkuuTigopesa imedukuliwa, huenda pesa zenu zisiwe salama tena.
10 MegabytesWameumiza watu wengi sana. Basi hapo watatoa MB 10 za pole!
10 MegabytesWameumiza watu wengi sana. Basi hapo watatoa MB 10 za pole!
Leo asubuhi sana nimeangalia balance iko sawaTigopesa imedukuliwa, huenda pesa zenu zisiwe salama tena.
...Mbona somo lipo siku zote hapo kwa msemo tpfauti??Usiweke pesa yako nyingi kwenye mitandao ya simu
Don't put all your eggs in one basket.
Kama akili yako inakuelekeza hivyo Fanya hivyo.kwa hiyo utabeba yai moja moja kupelaka nyumbani