Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jukwaa la siasa hili mkuu.Kuna shida mkuu... View attachment 1745969
Hapo Sasa!Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako.
Leo tena naona tigopesa inasumbuaš
Kabisa mkuu, apa mtu ana tatzo na pesa zipo tigo naangaika tuu utadhani ela za mkopo!Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!!
Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATIONLeo tena naona tigopesa inasumbuaš
Ni kweli ila kwa sasa naona imekaa sawaImesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION