Tigo pesa kulikoni?

Tigo pesa kulikoni?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Jana nilifanya muamala kwa shida. Leo tangu asubuhi najaribu lakini huduma haipatikani. Kila nikijaribu naambiwa system maintenance šŸ¤”
 
Kuna shida mkuu...
IMG-20210407-WA0014.jpg
 
Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako......inawezekana vipi service kama hiyo muhimu iwe down kwa zaidi ya 12 hrs? Hawana redundancy ya services zao? Wanatembeaje kwa mguu mmoja?
 
Oh sorry. Mods wanaweza kuhamisha uzi kwenye jukwaa jingine.
 
Back
Top Bottom