Jukwaa la siasa hili mkuu.Kuna shida mkuu... View attachment 1745969
Hapo Sasa!Dooh kama ndio ulikuwa unategemea kutoa muamala imekula kwako.
Leo tena naona tigopesa inasumbua😔
Kabisa mkuu, apa mtu ana tatzo na pesa zipo tigo naangaika tuu utadhani ela za mkopo!Acha tu tigo wanazingua sana!! Inatakiwa wajipange tena!!
Imesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATIONLeo tena naona tigopesa inasumbua😔
Ni kweli ila kwa sasa naona imekaa sawaImesumbua sana tu. Nilikuwa najaribu kuangalia salio inaniambia UNKNOWN APPLICATION