tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Kesi walifunguliwa millcom mmiliki wa tigo
 
Hata kesi wamefunguliwa millcom na sio tigo
 
hawana akili hao ngoja kesi ianze london ndio watajua hawajui nani mmiliki na nani sio? Alietoa mawasiliano kwa genge la mwendazake nani
 
Ke
Kesi ngumu kwa upande wa jamhuri sio upande wa lisu mkuu subiri utaona ndge ikikamatwa
 
Kabisa
 
Safari hali yenu msiojulikana ni Mbaya mtaanza kujulikana sio muda mrefu uzuri saver za whatsapp zipo USA
kwahiyo mTanzania unajivunia USA 🤣

ushirikina wenyewe si ndio huu sasa?🤣
 
Sisi hatutaki kujua, ni kiherehere tu tigo sisi tuko na mr. Milikoni cliford yeye ndio atatuambia sisi hatuna haja na tigo ila kama atahitajika basi huyo clifodi atatuletea chamsingi huyo jamaa tunaye mpaka mwisho watatajana wao kwa wao
 
Una uhakika na unachosema au wewe ni wale wanasheria wa mitandaoni.
 
Afadhali kuwana mihemko kuliko kujiunga wa wezi, wauaji na kuisaliti dhamira yako kwa sababuya tumbo
imani potofu, huruma na hisia ni miongoni mwa ushirikina wa kitumwa sana aise dah 🤣
 
imani potofu, huruma na hisia ni miongoni mwa ushirikina wa kitumwa sana aise dah 🤣
Hakuna kitu kibaya kama upumbavu, maana mpumbavu hajui kama yeye ni mjinga anajiona mjanja.

Hapa kwa akili ya kipumbavu unajiona una akili kiasi mtaendelea kuwadanganya watu wasitambue kweli kuwa Clifford kawaumbua watekaji na wauaji nyie.

Uko uchi lakini unajiona umevaa nguo duh!
 
sasa mbona umepanic kama kweli wewe sio mshirikina gentleman?🤣

sasa si awaumbue tumuone chairman atakavyo chekelea kama sio kuumbuka...

una simu nzuuuri kumbe mfukoni una hirizi, lione chawi hilo 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…