Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kesi walifunguliwa millcom mmiliki wa tigoKesi ilifunguliwa 2019.
Kwa hiyo wakati hao HONORA wanaingia huo mkenge 2022, kesi ilikuwa tayari inaendelea kurindima.
Ukinunua, kupewa au kurithi kampuni, unabeba "Assets + Liabilities".
Ni kama ukinunua gari, nyumba, kiwanja au shamba lenye kesi, unakuwa umenunua hiyo mali pamoja na kesi husika.
Waambie watulie tu, hawawezi kuchomoka kwa huo utetezi dhaifu.