tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu

HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliw...
Ukinunua kampuni unarithi kila kitu wasijidanganye labda wakane kuwa Tundu Lissu hakuwa mteja wao kipindi hicho anashambuliwa
 
Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:

Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"

Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"

Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Imeshitakiwa kampuni na sio miliki. Yaani tigo tanzania
 
Unaongea nn Bush lawyer? Mara Tigo IPO nara haipo
Local media reported that despite not having any formal legal training, the “lawyer” won 26 cases in various Kenyan courts under the name “Brian N. Mwenda”. According to the BBC, the man was a “masquerader” who had stolen the identity of a real lawyer named Brian Mwenda Ntwiga

Mtikika alishinda kesi kibao mahakama kuu hadi akapewa uanachama wa heshima Tanganyika Law Society wakati aliishia form three secondary
 
Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:

Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"

Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"

Lissu alifungua kesi mwaka 2019 wakati Tigo ipo chini ya Millicoms, Inakuwa rahisi kwa Honora ikitumia wanasheria wazoefu kujitetea kwamba wao hawakuhusika hivyo Lissu aendelee kuwashtaki Millicom, Hao Millicom inavyoonekana walivyoona ngoma inakaribia kupasuka wakahama mwaka 2022.

Ni kesi inayowezekana ila haitakuwa rahisi.
Mbona kawanunua na Wateja?? Si angeachana nao aanzane na wakwake wapya??
 
Back
Top Bottom