Tigo sio kampuni na haijashtakiwa uingereza karithi hewa au? Hayumo kwenye hati ya mashtakaWamerithi wateja na dhambi zake
Ndio sio kampuni ni brandRostam Aziz amenunua TIGO na Zantel na anazimiliki sawia 🐼
Ukinunua kampuni unarithi kila kitu wasijidanganye labda wakane kuwa Tundu Lissu hakuwa mteja wao kipindi hicho anashambuliwaKampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliw...
Tigo sio kampuni SasaUkinunua kampuni unarithi kila kitu wasijidanganye labda wakane kuwa Tundu Lissu hakuwa mteja wao kipindi hicho anashambuliwa
Haya ni brand Siyo kampuni tanzuNdio sio kampuni ni brand
Imeshitakiwa kampuni na sio miliki. Yaani tigo tanzaniaTatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Ni sawa na kushambuliwa na jirani, akihama nyumba ni ngumu kuishtaki nyumba yenye jirani mpya,
Nyie akina nani?Haya wataenda kuyasemea mahakamani sisi hayatuhusu.
Local media reported that despite not having any formal legal training, the “lawyer” won 26 cases in various Kenyan courts under the name “Brian N. Mwenda”. According to the BBC, the man was a “masquerader” who had stolen the identity of a real lawyer named Brian Mwenda NtwigaUnaongea nn Bush lawyer? Mara Tigo IPO nara haipo
Siyo kampuni ni kijiwe cha ghahawaTigo sio kampuni Sasa
NImeanza mchakato wa kuachana nayo.Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliw...
Ni brand name tu sawa na sabuni ya kasuku,foma nkSiyo kampuni ni kijiwe cha ghahawa
Rudi shule wewe Tigo ni kampuni? Huna akiliKampuni pendwa wao hawajakanusha tuhuma dhidi yao bali wamefafanua umilik wa kampuni tu. Asanteni.
Rudi shule wewe Tigo ni kampuni? Huna akiliKusema mmiliki wa sasa ni mwingine huko ni kutaka kujiondoa kwenye shutuma.
Una low IQ yaani wewe ni empty na poor Brain kabisa . Kwani tigo ni Kampuni ????Kampuni pendwa wao hawajakanusha tuhuma dhidi yao bali wamefafanua umilik wa kampuni tu. Asanteni.
Mbona kawanunua na Wateja?? Si angeachana nao aanzane na wakwake wapya??Tatizo linapokuja ni kwamba inakuwa ngumu kuishitaki Tigo kwasababu zifuatazo:
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama iliyomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Mwaka 2022 hadi sasa kampuni mama mmiliki wa Tigo ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Lissu alifungua kesi mwaka 2019 wakati Tigo ipo chini ya Millicoms, Inakuwa rahisi kwa Honora ikitumia wanasheria wazoefu kujitetea kwamba wao hawakuhusika hivyo Lissu aendelee kuwashtaki Millicom, Hao Millicom inavyoonekana walivyoona ngoma inakaribia kupasuka wakahama mwaka 2022.
Ni kesi inayowezekana ila haitakuwa rahisi.
Ana zero brain kama LisuUna low IQ yaani wewe ni empty na poor Brain kabisa . Kwani tigo ni Kampuni ????