Asante. Best brain fafanua kitaalam tueleweUna low IQ yaani wewe ni empty na poor Brain kabisa . Kwani tigo ni Kampuni ????
Ingekuwa kakampuni kadogo Lissu alishashinda, Tatizo hio ni kampuni kubwa yenye uwezo wa kutumia mawakili wa kimataifa na wenye usoefu kufosi kingi kwamba wao hawakuhusika, Wakienda mbali sana itabidi Lissu alipwe fidia ndogo sana isiyozidi bilioni 10, kiuhalisia inabidi apewe zaidi ya bilioni 50 na kampuni kutikiswa aidha kwa kufungiwa au kuwekewa vikwazoMbona kawanunua na Wateja?? Si angeachana nao Tanzania na wakwake wapya??
Mmeshapanga mpaka kiasi atakacholipwa Chiba?Ingekuwa kakampuni kadogo Lissu alishashinda, Tatizo hio ni kampuni kubwa yenye uwezo wa kutumia mawakili wa kimataifa na wenye usoefu kufosi kingi kwamba wao hawakuhusika, Wakienda mbali sana itabidi Lissu alipwe fidia ndogo sana isiyozidi bilioni 10, kiuhalisia inabidi apewe zaidi ya bilioni 50 na kampuni kutikiswa aidha kwa kufungiwa au kuwekewa vikwazo
Mpaka sasa Lissu hajafungua mashtaka Rasmi. Hivyo endeleen kumpa madini asikwame. Angalau atapata pesa ya kununua gari kuliko kuomba ombaNi brand name tu sawa na sabuni ya kasuku,foma nk
Lisu hajui tofauti ya brand name na kampuni
Katafunua
Waache uwizi.View attachment 3107414Tigo wajitenga na sakata la kuvuja taarifa za Lissu
Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO") imejitenga na taarifa za kuvujisha taarifa za simu za Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu, ikisema kampuni mama ya sasa ya...www.mwananchi.co.tz
Nia yenu ya kuchukua uhai wake bado inaendelea kuhakikisha hata stahiki zake hapati?Mmeshapanga mpaka kiasi atakacholipwa Chiba?
Umemaliza kila kitu. Hao tigo naona wamepanik tayari.Imeshtakiwa kampuni sio wamiliki
Unavyonunua kampuni unanunua na Liabilities zake zote. Kwahiyo hawawezi kuchomoka.KESI NI NGUMU SANA HII KWA UPANDE WA LISSU.
Tatizo linapokuja ni kwamba walioshitakiwa ni Millicom sio Tigo (Nimeatanisha attachments)
Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama inayomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"
Kuanzia mwaka 2022 kampuni mama mpya ni "Honora Tanzania Public Limited company"
Honora wataendelea kujibanza kwenye angle ya kumshinikiza Lissu aendelee kuwashtaki Millicom aliowafungulia kesi.inavyoonekana Millicom walivyoona ngoma inakaribia kupasuka wakaondoka mwaka 2022
Lissu ilibidi awashtaki Tigo
Ndio maana nimesema Lissu alichokosea ni kuwashtaki kampuni mama ya muda huo "Millicoms" badala ya kuwashtaki TIGOUnavyonunua kampuni unanunua na Liabilities zake zote. Kwahiyo hawawezi kuchomoka.
Tigo Tanzania PLC πππNi brand name tu sawa na sabuni ya kasuku,foma nk
Lisu hajui tofauti ya brand name na kampuni
NdioSiyo kampuni ni kijiwe cha ghahawa
Amewashtaki wapi? πΌNdio maana nimesema Lissu alichokosea ni kuwashtaki kampuni mama ya muda huo "Millicoms" badala ya kuwashtaki TIGO
Tigo Tanzania PLC πππNdio