tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

tiGO wajitenga na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Lissu. Wasema mmiliki wa sasa ni mwingine si yule wa nyakati za shambulio!

Mbona kawanunua na Wateja?? Si angeachana nao Tanzania na wakwake wapya??
Ingekuwa kakampuni kadogo Lissu alishashinda, Tatizo hio ni kampuni kubwa yenye uwezo wa kutumia mawakili wa kimataifa na wenye usoefu kufosi kingi kwamba wao hawakuhusika, Wakienda mbali sana itabidi Lissu alipwe fidia ndogo sana isiyozidi bilioni 10, kiuhalisia inabidi apewe zaidi ya bilioni 50 na kampuni kutikiswa aidha kwa kufungiwa au kuwekewa vikwazo
 
Mmeshapanga mpaka kiasi atakacholipwa Chiba?
 
Ni brand name tu sawa na sabuni ya kasuku,foma nk

Lisu hajui tofauti ya brand name na kampuni
Mpaka sasa Lissu hajafungua mashtaka Rasmi. Hivyo endeleen kumpa madini asikwame. Angalau atapata pesa ya kununua gari kuliko kuomba omba
 
In corporate world kuna mapopoma wengi sana ndio washauri wa makampuni makubwa! Ukutu hii "response" ni jopo la watalam wamekuja nalo.
Hawa TigO waliwalipa akina FA na AY bilions of money kwa ujinga wao kama huu wakukosa weledi na kuisababishia hasara kampuni.
TigO wajitathmini sana.
 
Unafahamu maana ya kampuni lakini
Mambo ya merger and acquisition!
 
KESI NI NGUMU SANA HII KWA UPANDE WA LISSU.

Tatizo linapokuja ni kwamba walioshitakiwa ni Millicom sio Tigo (Nimeatanisha attachments)

Taarifa za Lissu zilivuja kipindi ambacho kampuni mama inayomiliki Tigo ni "Millicom International Cellular public limited company"

Kuanzia mwaka 2022 kampuni mama mpya ni "Honora Tanzania Public Limited company"

Honora wataendelea kujibanza kwenye angle ya kumshinikiza Lissu aendelee kuwashtaki Millicom aliowafungulia kesi.inavyoonekana Millicom walivyoona ngoma inakaribia kupasuka wakaondoka mwaka 2022

Lissu ilibidi awashtaki Tigo
Unavyonunua kampuni unanunua na Liabilities zake zote. Kwahiyo hawawezi kuchomoka.
 
Unavyonunua kampuni unanunua na Liabilities zake zote. Kwahiyo hawawezi kuchomoka.
Ndio maana nimesema Lissu alichokosea ni kuwashtaki kampuni mama ya muda huo "Millicoms" badala ya kuwashtaki TIGO
 
Back
Top Bottom