robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Kawasomee albadriLeo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo. wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema nilikopa wamerudisha mkopo wao, nimekataa sijawahi na sitawahi kukopa tigo. Naona wanajikanyaga tu!
Niongozeni nipambane nao na mara hii natamani mawasiliano na vijana wa Law school ili nipate fidia ya kutosha kutokana na upuuzi huu.
Pesa nilihamisha CRDB kwenda tigo. Nikatumia kidogo zikabaki laki 1 na elfu chache, jamaa wakazinyakua. Bahati nzuri nami nimewarekodi ktk mazungumzo yangu na wao kama mara mbili hivi! Sasa naamini nimewashawishi inatosha. naona hawataki kurudisha au wanaleta kuteteana wizi wao. Hadi nimeshaona milioni kadhaa za madai ya usumbufu na personality yangu zinakuja.Ilikuwa kiasi gani, na ulitoa kutoka wapi kwenda wapi? Jibu hayo maswali, tuweze kukushauri
Pesa nilihamisha CRDB kwenda tigo. Nikatumia kidogo zikabaki laki 1 na elfu chache, jamaa wakazinyakua. Bahati nzuri nami nimewarekodi ktk mazungumzo yangu na wao kama mara mbili hivi! Sasa naamini nimewashawishi inatosha. naona hawataki kurudisha au wanaleta kuteteana wizi wao. Hadi nimeshaona milioni kadhaa za madai ya usumbufu na personality yangu zinakuja.
Hakuna hilo boss! Si nakwambia jamaa hawa wameanza kubabaika. Mara naambiwa zilirudi benki. Benki imesema haina uhusiano huo na tigo maana kama benki inanidai ingechana kwenye akaunti yangu. baadaye nasingiziwa mikopo ya tigo, kitu ambacho sijawahi kuwazia. Uzuri nimerekodi bhla!-bhla! zao.Angalia watu wako wa karibu ukute ndo wamekuliza
Piga TCRA kwa kutumia namba iliyoibiwa, eleza kila kitu kilivyokua, wao watakupa muongozo. Na ukiweza nenda ofisini kwao kabisaLeo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo. wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema nilikopa wamerudisha mkopo wao, nimekataa sijawahi na sitawahi kukopa tigo. Naona wanajikanyaga tu!
Niongozeni nipambane nao na mara hii natamani mawasiliano na vijana wa Law school ili nipate fidia ya kutosha kutokana na upuuzi huu.
Kwamba CRDB wanaweza kutoa hela kwenye acc ya tigo pesa?Shida inaanzia pale ambapo kwa namna moja au nyingine third party ambaye ni crdb anatajwa kwenye hadithi ya miamala yako. Hapo ndipo tigo watakuja kukuacha vizuri mahakamani.
Kesi ingekua tamu kama ungekua unadeal na tigo au agent wake lakini akishahusika third party kuwa mpole tu chukua statement fuatilia kwa kujumlisha na kutoa miamala utajua tatizo
Yaonekana ni hatari sana kuweka kiasi kikubwa cha pesa ktk makampuni ya simu. Vijana wa makampuni haya, wana njaa! Huko pitishieni elfu chache tu maana sasa nasikia huwa pia wanadokoa-dokoa elfu 1, 2, na hata mia 5 bila wenye pesa kujua.Kwamba crdb wanaweza kutoa hela kwenye acc ya tigo pesa?
Turud nyuma kwanza hela yenyewe sh ngap isije ikawa tutamia nguvu nying kumbe hela yenyewe bukuLeo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo.
Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema nilikopa wamerudisha mkopo wao, nimekataa sijawahi na sitawahi kukopa tigo. Naona wanajikanyaga tu!
Niongozeni nipambane nao na mara hii natamani mawasiliano na vijana wa Law school ili nipate fidia ya kutosha kutokana na upuuzi huu.
Ulivyoanza tu inaonesha uko chini sana! Utakuwa bwege! Hujui Tanzania imeshalipa mabilioni kwa makosa ya mamilioni!Turud nyuma kwanza hela yenyewe sh ngap isije ikawa tutamia nguvu nying kumbe hela yenyewe buku