Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

Daah kweli aisee hawa mbwa wameongeza Tena Bei za bando Ni kama vile wanatukomoa Sasa.
 
ikiija starlink ya elon musk tunaachana na hawa kina tigo na.voda...ukitaka kumpigia mtu ni whatsapp call na message ni whatsap tu..tunaachana na mambo ya dakika na SMS
Mpaka iwafikie ninyi wa dunia ya3 ni 2050 huko wakata mshanyonywa vya kutosha...suluhisho ni kuhama nchi ama kubaki bongo na kuunda njia za kuwakwepa hawa wadhurumaji
 
Aise inasikitisha sana ,, pesa zinapigwa ile mbaya huruma hawana, nakumbuka halotel walikua wanatoa 3GB kwa 3000, leo hii 1500 mb750, 2000 1gb 😁
 
Hii [emoji116]
Screenshot_20221101-102711.jpg
 
ikiija starlink ya elon musk tunaachana na hawa kina tigo na.voda...ukitaka kumpigia mtu ni whatsapp call na message ni whatsap tu..tunaachana na mambo ya dakika na SMS
Tatizo hujielewi

Kabla ya hiyo starlink jiungishe na kampuni zingine maana zipo na bei yake kwa mwezi ni ndogo
 
ikiija starlink ya elon musk tunaachana na hawa kina tigo na.voda...ukitaka kumpigia mtu ni whatsapp call na message ni whatsap tu..tunaachana na mambo ya dakika na SMS
Wafilisike na Roho zao mbaya.
 
Back
Top Bottom