Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

Tigo wamepunguza mb+dakika, ni hatari hawa watu

Wataleta tozo mpaka huko (kuna kiongozi mmoja alisema swala la tozo WhatsApp -sikumbuki ni nani lakini).
ikiija starlink ya elon musk tunaachana na hawa kina tigo na.voda...ukitaka kumpigia mtu ni whatsapp call na message ni whatsap tu..tunaachana na mambo ya dakika na SMS
 
Hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ni wale wale tu.. tofauti ni ndogo sana.
Elf 2000 mb badala ya Gb aki Nape nakuombea duah mbaya sna wew na hao wenzio , maana wengine hatuna ofisi, ofisi zetu ni simu Sasa naweka bandle la shilingi ngapi nikidhi mahitaji?!.
 
Tigo mnawaonea tu, kama mnataka kukinukisha, basi mkinukishe kwa hao mliowapa dhamana, wenye mamlaka.
 
Back
Top Bottom