ikiija starlink ya elon musk tunaachana na hawa kina tigo na.voda...ukitaka kumpigia mtu ni whatsapp call na message ni whatsap tu..tunaachana na mambo ya dakika na SMS
Elf 2000 mb badala ya Gb aki Nape nakuombea duah mbaya sna wew na hao wenzio , maana wengine hatuna ofisi, ofisi zetu ni simu Sasa naweka bandle la shilingi ngapi nikidhi mahitaji?!.Hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ni wale wale tu.. tofauti ni ndogo sana.
Njia gan mkuuMpaka iwafikie ninyi wa dunia ya3 ni 2050 huko wakata mshanyonywa vya kutosha...suluhisho ni kuhama nchi ama kubaki bongo na kuunda njia za kuwakwepa hawa wadhurumaji
Na ndo kashasema walalamishi sanaaa imeisha hiyoooosafi sana, endeleeni kumuita "Mama"