- Thread starter
- #21
AtashindaaKwa utawala wa chura awezi kushinda.mm na nyie tuko HAPA.
All the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtashindaaKwa utawala wa chura awezi kushinda.mm na nyie tuko HAPA.
All the best
Kwa nini mkuu?Kwa utawala wa chura awezi kushinda.mm na nyie tuko HAPA.
All the best
Kweli kabisa. Hawa dawa ni kuwanyoosha maana wamezoea sanaSafi sananaona watz wanaanza kuamka hii mitandao ya simu karibu yote ni wezi
Nchi yetu inapita kwenye kipindi kigumu. Vijana wetu wengi wana tatizo kubwa kwenye hesabu!! Huyu alimaanisha milioni 26.88 au angesema 26,880,000.
Fikiria mtu anashindwa kujua kuwa milioni 1, ni tofauti kabisa na milioni 1000,000. Milioni 26,880,000, ni sawa na 26,880,000 × 1,000,000 = 26,880,000,000,000; hii ni trilioni 26.88.
Elewa namba tu na umsamehe.shilingi milioni 26,880,000/= unazijua wewe ?
Kwa Miranda ya simu hiyo 26.8 m ni pesa ndogo sana hata kama kesi iko primary court.Kampuni mama ya tiGO Tanzania 'HONORA TANZANIA MOBILE SOLUTIONS LTD' wamefikishwa mahakama ya mwanzo Ilala wakidaiwa fidia ya shilingi milioni 26,880,000/=
Shauri hili namba 270/2024 litaanza kusikilizwa mbele ya hakimu mfawidhi Judith Kobo baada ya tigo kutuhumiwa kuanzia kipindi cha tarehe 30 April mpaka 16 May 2024 kumkata mteja Aitwae Benedict K. Kiasi cha shilingi 118,000/= kinyume cha utaratibu.
Madai haya yamefikishwa mahakamani baada ya hapo awali Mteja kuwasilisha malalamiko yake dawati la malalamiko la tiGO kwa mujibu wa kanuni za benki kuu zinazomlinda mteja za mwaka 2019, ambapo tiGO hawakujibu.
Mteja aliwasilisha malalamiko yake Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa kanuni, ambao benki kwa barua yao ya tar 1/9/2024 walimshauri mteja kuwasilisha malalamiko hayo mahakamani ili kupata uamuzi wa mahakama.
Elimu ndio tatizo,shilingi milioni 26,880,000/= unazijua wewe ?