Tigo yakata rufaa kuwalipa AY, Mwana FA TSh 2.18 Bilioni, majibu ya rufaa yao kutolewa Julne 27

Nilitegemea kuona Tigo wanasema hawakutumia nyimbo hizo au walipewa ridhaa na watengeneza nyimbo hizo!

Mwanya wa pekee wa Tigo kushinda rufani hii ni pale kwenye nyimbo husika kusajiliwa au lah...lakini bado haitoi haki kwa Tigo kutumia nyimbo ya mtu bila ridhaa yake....na sidhani kama sheria inatoa mwanya kwa kampuni kutumia kazi ya mtu hata kama haijasajiliwa!

Tigo wanaweza wakapunguziwa adhabu lakini maelezo yao ni wamekiri kufanya kosa.....
 
Nilidhani kwenye hiyo rufaa Tigo wangesema kuwa hawakutumia hizo nyimbo za wasanii. Au walinunua hizo ringtones toka kwa producer.

Kama walizitumia, wajiandae tu kulipa. Wanachokifanya ni kupoteza muda tu.

Kama ni kweli hizo nyimbo hazijasajiliwa ni ngumu kushinda mkuu. Kwa sababu haitajulikana expirity ya copyright (ambayo haipo)

Kwa sasa unaweza kutumia nyimbo iliyosajiliwa mwaka 1955 bila ruhusa ya mwenyewe sasa swali ni je, AY na FA haki ya nyimbo yao iko clear hivyo?
 
Nilidhani kwenye hiyo rufaa Tigo wangesema kuwa hawakutumia hizo nyimbo za wasanii. Au walinunua hizo ringtones toka kwa producer.

Kama walizitumia, wajiandae tu kulipa. Wanachokifanya ni kupoteza muda tu.
Nami nimeona kama wewe. Hakuna mahali Tigo wanakana kosa, bali wanapinga kutozwa faini KUBWA. lakini all in all Tigo wangeweza kuwaita AY na FA na kukaa nao kitako, wamalizae nje ya mahakama. Hili pia linawezekana
 
Safi sana Tigo maana hao hawafanani na iyo ela waliyoitaka labda wangesema milioni 2 kila mmoja
 
Na labda hili ndilo litakalofanyika Mkuu.

Nami nimeona kama wewe. Hakuna mahali Tigo wanakana kosa, bali wanapinga kutozwa faini KUBWA. lakini all in all Tigo wangeweza kuwaita AY na FA na kukaa nao kitako, wamalizae nje ya mahakama. Hili pia linawezekana
 
Kwa hiyo Tigo walitumia madhaifu hayo ili wanufaike na kazi za watu?
 
Hapo Judge anapewa 200mil anaua kesi
hahahaha kaka corporate world haiko hvyo, kuwa implicated kutoa rushwa ila ku'sway mwaamuzi ya mahakama kutaharibu brand na biashara kuliko hako ka'billion mbili ambapo kwa tigo ni gross revenue ya siku moja.
 
Nami nimeona kama wewe. Hakuna mahali Tigo wanakana kosa, bali wanapinga kutozwa faini KUBWA. lakini all in all Tigo wangeweza kuwaita AY na FA na kukaa nao kitako, wamalizae nje ya mahakama. Hili pia linawezekana
Ni kweli kabisa mkuu

Kesi kama hizi wenzetu wanazimaliza nje ya mahakama. Na kwa kufanya hivyo, faini haiwezi kuwa kubwa namna hiyo.
 
Naona as long as tigo wanakubali kutumia hizo nyimbo na walikua wakiingiza mapato tena makubwa tu kutokana nazo hii kesi lazima iwatafune tu
I wonder then wasanii wangapi watafungulia makampuni ya simu kesi for the same issue
 
Hapo lazima law technicalitie zitumike kwa mapana ili watu washinde na kuendesha maisha yao!!!!!!!!!
 
Kesi hii makumpuni yote ya simu lazima yawe upande wa Tigo wakiruhusu judge ku uphold hukumu basi itatengeneza precedent kwa wasanii wengine kufungua kesi...this is very bad na haitatokea kwa Tanzania
 
Naona as long as tigo wanakubali kutumia hizo nyimbo na walikua wakiingiza mapato tena makubwa tu kutokana nazo hii kesi lazima iwatafune tu
I wonder then wasanii wangapi watafungulia makampuni ya simu kesi for the same issue

Mkuu, kama kweli hawana copyright hiyo kesi ni ngumu kwa ndugu zetu. Na ndio maana tiGO wamekuwa na hoja ya kukata rufaa.

Mahakama kuu na ya rufaa wako strict zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…