Sheria ya Copyright and Neighbouring Rights Act inasema kazi yoyote ya ubunifu mfano wimbo na kitabu au hadithi si lazima uzisajili ndipo uwe na haki ya kuziita zako. Your work must novel/new creation tu hiyo ndo requirement. Ila hii rufaa watashindwa kwakuwa waliomba specific damages ambazo kisheria lazima zithibitishwe specifically, ukisoma hukumu ile hata Hakimu anakili hawakuthibitisha madai yao specifically, pia hakuuzingatia ushahidi wa Shahidi pekee wa Tigo na hakuujadili kabisa angalau akasema kwanini anaona hauna msingi