Tigo yakata rufaa kuwalipa AY, Mwana FA TSh 2.18 Bilioni, majibu ya rufaa yao kutolewa Julne 27

Tigo yakata rufaa kuwalipa AY, Mwana FA TSh 2.18 Bilioni, majibu ya rufaa yao kutolewa Julne 27

Nami nimeona kama wewe. Hakuna mahali Tigo wanakana kosa, bali wanapinga kutozwa faini KUBWA. lakini all in all Tigo wangeweza kuwaita AY na FA na kukaa nao kitako, wamalizae nje ya mahakama. Hili pia linawezekana
Ndicho kitakachofanyika, maana nyimbo ikifikisha miaka hamsini haina haki ya kuhifadhiwa tena so wakiwa wanauthibitisho waliisajili lini, issue itaishia mahakama ni bila hvyo nje ya mahakama na ndivyo ninavyoliona hili suala, hebu tungoje muda
 
Wafanye provision kabisaa kwenye financial statements
 
So happy for these lads, pigeni mpunga sio wanatumia tu kazi zenu bure
 
Hahahaha,hapo wote wawili hamna kitu tena huyo AY ndo kabisaaaa,appearance yake tu kama sio msanii bana,kiukweli mziki umewashinda na hiyo kesi wamefeli tayri waangalie mtaji mwingine,sasa kama hawajazisajili nyimbo zao cosota wao wanadhani nani atawaamini?,na katika kesi nzima halijatajwa hata jina la producer!,duh,hao jamaa warafi na washindwe tu hahaha!,em nisubiri collabo ya mondi na Chris brown niendelee kunenepa Mimi...
 
Back
Top Bottom