Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bando huwezi nunua, wapuuzi kweli hawaToka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Huu mtandao haufai,kwa mwezi hayo matatizo yanajirudia kila siku, nilikula sehemu, nataka nifanye muhamala kwa LIPA NUMBER, hola" ikabidi niache kitambulisho cha NIDA tuToka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Sio kweli,Vodacom wapo vizuri, labda uniambie we mfanyakazi wa tigo umekereka tunavyowapondaKuna hao Vodacom ni huruma kabisa.
Huu mtandao una changamoto sana, jana kutwa nimekosa huduma ya Tigo pesa, leo kuanzia saa 4 asubuhi mtandao tena unasumbua. Yaani kiufupi hawaaminiki kabisa, nitaendelea kuutumia kwa huduma za kupiga na kupokea simu tu. mambo mengine ngoja niendelee na airtel na voda.Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.
Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Ila tigo ni funga kazi kwa mitandao yote, wanakera sana.Hii ni kwa tigo tu ama hata mitandao mingine?
Asubuhi nimetuma hela kutoka vodacom kwenda airtel hakuna sms iliyoingia wala kutoka lakini nikiangalia salio hela imetoka voda na haijafika airtel.
Hii mitandao yote tu miyeyusho hakuna hata pakukimbilia sijui ma IT wao ni vilaz,a.
Kama ndiyo airtel ndio hovyo kabisa kila mara wanatoa ujumbe sijui muda fulani hadi muda fulani patakuwa na marekebisho ya huduma ya airtel money hadi nimeacha kwa muda kutumia airtel money maana wamenikwamishia miamala yangu kadhaa.