Tigopesa hakuna huduma

Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.

Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Hata bando huwezi nunua, wapuuzi kweli hawa
 
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.

Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Huu mtandao haufai,kwa mwezi hayo matatizo yanajirudia kila siku, nilikula sehemu, nataka nifanye muhamala kwa LIPA NUMBER, hola" ikabidi niache kitambulisho cha NIDA tu
 
Mbona vodacom hakuna changamoto za mtandao mara kwa mara, maana wengine tuna laini za mitandao kama miwili,
Tigo ni uchafu haifai
 
Nilikua natumiwa view once hapa na wifi yenu yupo safarini inazunguka tu nmepasua simu
 
Hamna mtandao wa maana tanzania huo ndio ukweli tunaishi nayo kwakua hamna namna
 
Toka saa 12 asubuhi,tigopesa haifanyi kazi,huduma kwa wateja kuongea na mhudumu simu inakatwa.

Ni kama wamegoma leo tusifanye harajati zetu za malipo maana wao ndio wanaamua namna ya kufanya kazi.
Huu mtandao una changamoto sana, jana kutwa nimekosa huduma ya Tigo pesa, leo kuanzia saa 4 asubuhi mtandao tena unasumbua. Yaani kiufupi hawaaminiki kabisa, nitaendelea kuutumia kwa huduma za kupiga na kupokea simu tu. mambo mengine ngoja niendelee na airtel na voda.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unakuta wanaboresha vitu huko..
Au kuna shida imejitokeza mkuu acha panic
 
Ila tigo ni funga kazi kwa mitandao yote, wanakera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…