Tigopesa hakuna huduma

Tigopesa hakuna huduma

Hii ni kwa tigo tu ama hata mitandao mingine?

Asubuhi nimetuma hela kutoka vodacom kwenda airtel hakuna sms iliyoingia wala kutoka lakini nikiangalia salio hela imetoka voda na haijafika airtel.

Hii mitandao yote tu miyeyusho hakuna hata pakukimbilia sijui ma IT wao ni vilaz,a.

Kama ndiyo airtel ndio hovyo kabisa kila mara wanatoa ujumbe sijui muda fulani hadi muda fulani patakuwa na marekebisho ya huduma ya airtel money hadi nimeacha kwa muda kutumia airtel money maana wamenikwamishia miamala yangu kadhaa.
 
Mitandao mingine hua wanatoa taharifa za Maboresho ..

Hawa Tigo pia wajifuze hili kuepusha kero ..
 
Ndo najua saiz sina sim card ya tigo nina app ya tigo pesa niko sehemu nimefungua app nifanye malipo inanambia internal server error.
 
Back
Top Bottom