Degedege ndio iliyosemwa sana kipindi hichoWanasema Alipata "gedegede" aah!!!! Alipata degedege
Wengine wanadai france walifanya yao..
Wengine wanasema Adidas walifanya yao ili zizzou ambae alikuw chini ya adidas annyanyue ndoo.
Hii inakuja kwa nguvu ya ushindani wa biashaka kati ya nike(mdhamini wa ronaldo de lima) na adidas(mdhamini wa zinedine yazid zidane, zizzou)
Viera,Petiti,Henry, bila kumsahau Karembeu2004 hujui alichomfanya Mwingeleza dak za 90 au unajisahaulisha magoli ya Zizou?
Kijana kubali kataa kile kizazi kilikuwa bora
Worldcup 98
Euro 2000
Euro 2004
World cup 2006
Miaka hiyo yote nane kizazi kile kilikuwa bora
( iv unakumbuka 2006 France ilikuwa na no 9 ( kumi na 6 kati yao wakiwa wanaongoza ufungaji bora kwenye league wanazocheza? Mpk kocha anashindwa nan wa kupangwa?)
Labda kama umeanza kuangalia mpira juzi but kizazi cha Zidane/Thuram/Lizarazu/Deschamps/blanc etc kilikuwa bora sana
Euro 2000 ilitwaa kwa Aina yake tuu ile mechi ya final wanasubir Hadi David Trezeguet asawazishe....ila alipita kwa shida maana Nusu final tuta la dakika za mwisho la Abel Xavier ananawa mpira ila 98 wanshinda kiulaini Sana kwakua Brazil alizidiwa
France walikamia mechi na waliiua mechi kwa magoli ya mapema ya zizzouEuro 2000 alikutana na real tests, Spain, Portugal na Italy.
Game zote za mitoano zilikuwa ni tough.
Ukiangalia njia aliyopita WC 98 ilikuwa nyepesi sana: Paraguay, Italy (this was a bit tough), Croatia and Brazil.
Ni mkasa wa aina yake, dakika kadhaa kabla ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia mwaka 1998 pale nchini Ufaransa, katika mechi iliyokuwa inazikutanisha Ufaransa Vs Brazil kulitokea tukio la kushangaza sana.
Mshambuliaji bora wa wakati huo, Ronaldo De Lima alipatwa na ugonjwa wa ghafla na kuondolewa kwenye kikosi cha kwanza.
Dakika kadhaa baadae, akapata nafuu akapangw ingawa inaaminika alifosiwa. Kwenye fainali akawa mdembwedo kweli. Mpaka leo kuna nadharia nyingi juu ya tukio hilo. Je nini hasa kilimkuta Ronaldo?
Miaka yote Nchi inapokuwa Bingwa wa World Cup mashindano yanayofuata inakuwa urojo kuanzia Ufaransa kachukua 98 mwaka 2002 karojoka. Brazil kachukua 2002 mwaka 2006 katepeta. Italy kachukua 2006 mwaka 2010 kawa mdebwedo. Spain kachukua 2010 mwaka 2014 ndembendembe. German 2014 mwaka 2018 kawa poyoyo.Natabiri hilo pia kujitokeza 2022.Mbona umeiruka 2002 ambapo walikuwa kundi na Senegal?
2004 wametolewa na Greece, hope unakumbuka pia hilo swala.
Kwangu mimi France ilikuwa ya Euro 2000.
Umemuelewa mtoa mada? Nini kilimkuta Ronaldo?Hakuna uchawi, brazil alizidiwa mpira na ufaransa by then na pia ile ni fainali lengo ni ushindi ndicho walichokifanya ufaransa. Hata leo bado kuna watu hawaamini Barcelona alichezea kichapo toka kwa Liverpool. HUO NDIO MPIRA, unaweza kuwa na the best people lakini ukakosa mbinu za kuwin mechi fulani tena mechi muhimu
Nakuunga mkono kwa asilimia 100Mbona umeiruka 2002 ambapo walikuwa kundi na Senegal?
2004 wametolewa na Greece, hope unakumbuka pia hilo swala.
Kwangu mimi France ilikuwa ya Euro 2000.
Umenikumbusha ile mechi Ufaransa Vs Ureno kwenye Euro 2000, dakika za jioni Ufaransa wanapata penati na mpigaji ni Zizzou, basi Luis Figo anaamua kuvua zake jezi na kutoka nje, maana alijua wazi Zizzou hakosi and then goli la dhahabu lingemaliza mechi ile.Euro 2000 alikutana na real tests, Spain, Portugal na Italy.
Game zote za mitoano zilikuwa ni tough.
Ukiangalia njia aliyopita WC 98 ilikuwa nyepesi sana: Paraguay, Italy (this was a bit tough), Croatia and Brazil.
Hapa jf au huko wasap?The bold alishaandika makala ndefu sana ya kisa hiki
Umenikumbusha ile mechi Ufaransa Vs Ureno kwenye Euro 2000, dakika za jioni Ufaransa wanapata penati na mpigaji ni Zizzou, basi Luis Figo anaamua kuvua zake jezi na kutoka nje, maana alijua wazi Zizzou hakosi and then goli la dhahabu lingemaliza mechi ile.
Wachambuzi wengi wanadai Euro 2000 ndio michuano bora kwa miaka ya karibuni.
Mkuu hata ile Ureno ilikuwa imesimama haswa! Soka tamu bhanaUmenikumbusha ile mechi Ufaransa Vs Ureno kwenye Euro 2000, dakika za jioni Ufaransa wanapata penati na mpigaji ni Zizzou, basi Luis Figo anaamua kuvua zake jezi na kutoka nje, maana alijua wazi Zizzou hakosi and then goli la dhahabu lingemaliza mechi ile.
Wachambuzi wengi wanadai Euro 2000 ndio michuano bora kwa miaka ya karibuni.
Ilikuwa iko vzr sana ni vile tu hawakuwa na bahati ya kutwaa ndooMkuu hata ile Ureno ilikuwa imesimama haswa! Soka tamu bhana
Ilikuwa iko vzr sana ni vile tu hawakuwa na bahati ya kutwaa ndoo
Ufunguzi na fainali hahaha, soka la ulaya lilianza kuharibika tena mwaka 2004 baada ya kombe la dunia la 1990 pale Italia.2004 walikutana Greece, wazee wa kupaki basi.
Walipigwa makundi na final.