Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mkuu nashangaae sasa hivi Greece kwenye ramani ya soka kama vile wamefifia mambo yamebadilika.2004 walikutana Greece, wazee wa kupaki basi.
Walipigwa makundi na final.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nashangaae sasa hivi Greece kwenye ramani ya soka kama vile wamefifia mambo yamebadilika.2004 walikutana Greece, wazee wa kupaki basi.
Walipigwa makundi na final.
Mkuu nashangaae sasa hivi Greece kwenye ramani ya soka kama vile wamefifia mambo yamebadilika.
Mbona haikuchukua World Cup ya 2002 pale South Korea na Japan wakaishia kudhalilishwa hatua ya Makundi na wakina Papa Diop?Mwaka 2000 France alikua bingwa Euro maana yake France walikua na kizazi Bora Sana kilichoishia 2006
Mbona mnaruka World Cup ya 2002 pale South Korea na Japan,au hicho kizazi chenu cha dhahabu akikushiriki mwaka huo?2004 hujui alichomfanya Mwingeleza dak za 90 au unajisahaulisha magoli ya Zizou?
Kijana kubali kataa kile kizazi kilikuwa bora
Worldcup 98
Euro 2000
Euro 2004
World cup 2006
Miaka hiyo yote nane kizazi kile kilikuwa bora
( iv unakumbuka 2006 France ilikuwa na no 9 ( kumi na 6 kati yao wakiwa wanaongoza ufungaji bora kwenye league wanazocheza? Mpk kocha anashindwa nan wa kupangwa?)
Labda kama umeanza kuangalia mpira juzi but kizazi cha Zidane/Thuram/Lizarazu/Deschamps/blanc etc kilikuwa bora sana
Ni mkasa wa aina yake, dakika kadhaa kabla ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia mwaka 1998 pale nchini Ufaransa, katika mechi iliyokuwa inazikutanisha Ufaransa Vs Brazil kulitokea tukio la kushangaza sana.
Mshambuliaji bora wa wakati huo, Ronaldo De Lima alipatwa na ugonjwa wa ghafla na kuondolewa kwenye kikosi cha kwanza.
Dakika kadhaa baadae, akapata nafuu akapangw ingawa inaaminika alifosiwa. Kwenye fainali akawa mdembwedo kweli. Mpaka leo kuna nadharia nyingi juu ya tukio hilo. Je nini hasa kilimkuta Ronaldo?
AhsanteWanasema Alipata "gedegede" aah!!!! Alipata degedege
Wengine wanadai france walifanya yao..
Wengine wanasema Adidas walifanya yao ili zizzou ambae alikuw chini ya adidas annyanyue ndoo.
Hii inakuja kwa nguvu ya ushindani wa biashaka kati ya nike(mdhamini wa ronaldo de lima) na adidas(mdhamini wa zinedine yazid zidane, zizzou)