Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna mambo mawili: aidha dikteta Putin atauawa au atapinduliwa, hataweza kuwafanya warussia kuwa mateka wake.
Mashirika ya kijasusi ya kimagharibi yatafanya njama na ile ya Russia (FSB) kumuangamiza dikteta Putin ili kuiokoa Russia, Ukraine na dunia kwa ujumla.
Kwa hali ilivyo, FSB watakubali kabisa kwamba afadhali kumuondoa mjinga moja ili kuokoa taifa na dunia kwa ujumla.
duuuh nawee ni great thinker wa JF, umeingia gugo umesoma habari 2--3 umekuja na Hili Hitimisho ??.
Et FSB iungane na Mashirika eeehhh er kumuondoa Putin?.
Umelopoka au umeyafatilia kiundan??
Tatizo linalowasumbua, Habari za Putin ,Urusi ,USSSR, NATO, n.k
Mmeanza zifatilia mwaka huyu tangu Feb 24 Putin alipoanzisha hiii operesheni .
Sasa tambua, siku zijazo , Uchina anaanzisha Operesheni ya kuinyakua Taiwani.
Ndivo Dunia inavyoenda, Haina budi Kutokea .
URUSI ATASHINDA TU !!.