Tikielekea kwenye sensa hapa Ubungo hakuna maji wiki ya pili sasa

Tikielekea kwenye sensa hapa Ubungo hakuna maji wiki ya pili sasa

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Aweso soma hiyo, watu wanahamasisha sensa kwa maendeleo, na huku watu wananuka vikwapwa kwa sababu ni wiki mbili sasa hakuna maji na idara ya maji IPO hapahapa Ubungo.

Sensa oyeeeee......

1446634139814.jpg
 
Picha sio ya Ubungo. Ubungo kisiwani mitaa yangu hiyo. Enzi hizo ilikuwa mitaa safi wote mnafahamiana.
 
Ubungo hakuna mbunge, alisikika msomi mmoja kutoka chuo kikuu Cha Dar es Salaam akilalamika.
 
Aweso soma hiyo, watu wanahamasisha sensa kwa maendeleo, na huku watu wananuka vikwapwa kwa sababu ni wiki mbili sasa hakuna maji na idara ya maji IPO hapahapa Ubungo.

Sensa oyeeeee......

View attachment 2312795
Labda wakijua idadi yenu, wataona uhitaji mkubwa wa maji mlio nao!
 
Mrejesho:

Jana jioni maji yameruhusiwa ila hayana pressure utazani kibabu kinakojoa .
nasema kuruhusiwa kwa sababu maji yapo ila kwa uzuzu wenu mnaohusika mnataka kuyafanya tuabudu maji.
 
Nenda kahesabiwe, mamlaka za maji zitapewa takwimu ya wakazi wa eneo Hilo, halafu watajua mahitaji na kuyaweka katika mpango wa bajeti, inawezekana wakati wa sensa iliyopita hapo waliishi watu kumi tu, kwa hiyo mnagawana maji ya watu kumi
 
Back
Top Bottom