TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

Tiktok imejaa hao kweli hatar sana,,kuna wababu wanne wameungana mashoga aibu niliona mimi[emoji1373]
 
Wanazileta randomly basi tu
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga hela
 
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,

Kwanza una miaka mingapi? Ingekuwa ni mim ningempiga na makofi kabisa kwa kosa la kufanya jambo ambalo sijamruhusu.

Kuwa gentlemen wewe acha utoto.
 
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,

Kwanza una miaka mingapi? Ingekuwa ni mim ningempiga na makofi kabisa kwa kosa la kufanya jambo ambalo cjamruhusu.

Kuwa gentlemen wewe acha utoto.

Miaka yangu 26, sasa ningempiga kofi si ndo ingekuwa balaa
 
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga hela

Hamna hata zinakuja tu…Basi tu ilikuwa bahati mbaya kwangu nichafuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…