Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa AlgorithmNa ndivo ilivyo humu mitandaoni, huwa kinakuja kile ambacho huwa unaperuzi mara kwa mara.
Huenda huwa unasaka sana hao watu, pole sana uache hiyo michezo mleta uzi.
Kna ws~~~ng mule balaa
Ova
Huko kupenda kucheka cheka kwa mtoto wa kiume sio vizuriSina Snapchat nina TikTok kwa ajili ya vichekesho
ingia pm , bobNa kwa nini mwanaume utumie hiyo toktoko?
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.
Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
kwaiyoo wewe mashoga ndo yanakuchekeshaga?Sina Snapchat nina TikTok kwa ajili ya vichekesho
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga helaWanazileta randomly basi tu
Ongezea na app ya mangeMwanaume ukitumia snapchart Facebook tiktok uchunguzwe kwanza
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.
Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,
Kwanza una miaka mingapi? Ingekuwa ni mim ningempiga na makofi kabisa kwa kosa la kufanya jambo ambalo cjamruhusu.
Kuwa gentlemen wewe acha utoto.
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga hela
Nami pia nimewaza hivyo, so Bure anafanya promo🤔!Unafanya Promotion[emoji38][emoji38][emoji38]