TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.

Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
sddefault.jpg
IMG_20200313_211620.jpg
 
Wanazileta randomly basi tu
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga hela
 
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.

Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha…Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga,asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,

Kwanza una miaka mingapi? Ingekuwa ni mim ningempiga na makofi kabisa kwa kosa la kufanya jambo ambalo sijamruhusu.

Kuwa gentlemen wewe acha utoto.
 
Acha ujinga wewe kama hujafanya chochote kibaya uliogopa nini sasa,

Kwanza una miaka mingapi? Ingekuwa ni mim ningempiga na makofi kabisa kwa kosa la kufanya jambo ambalo cjamruhusu.

Kuwa gentlemen wewe acha utoto.

Miaka yangu 26, sasa ningempiga kofi si ndo ingekuwa balaa
 
Sio kweli! dunia ya sasa unachokua unakitafuta na kukitazama zaidi mtandaoni ndio unaletewa zaidi ili uwe busy na huo mtandao kwa kukupa kitu ile roho yako inapenda huku wao wanapiga hela

Hamna hata zinakuja tu…Basi tu ilikuwa bahati mbaya kwangu nichafuke
 
Back
Top Bottom