TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

TikTok imejaa mashoga. Nimeaibika mimi

Mkuu ukiachilia mbali mambo ya jinsiaz yani mimi sijui no ushamba, sijawahi tumia snapchat wala tiktok kabisa sio kwenye simu yanhu au hata kwenye kuifungua kwenye simu ya mtu mwingine. Sijawahi kuwa na mzuka wa kuitumia kabisa.
Kuna mwanangu siku moja alinipa nimrekebishie kitu Fulani kwenye simu yake nikakutana na Snapchat,nikamuuliza Mzee Baba hii kitu inafanya nn humu,akajibu demu wake ndy anaitumia

Nilimshangaa kinyama Ila sikutaka kumjaji sn..lkn Kwa kweli Mimi napata ukakasi sn endapo mwanaume kwenye simu yake ana apps za Snapchat na tiktok,hata Instagram tangu nipumizke maswala ya kupost graphics na inshu za printing za t-shirts,nimeacha kuitumia karibia mwaka sasa Kwa sababu ya umbea mwingi huko
 
Hamna hata zinakuja tu…Basi tu ilikuwa bahati mbaya kwangu nichafuke
Hakika hutaacha kubisha ila ukweli unaujua
Mitandao ya kijamii inakujua kuliko marafiki ndugu na jamaa zako.

Unachokipendelea kukitafuta na kukiangalia kuanzia google hutaacha kukiona kwa apps nyingine zote za social media
Dawa ni kuacha kuangalia mashoga ili wasikuletee wengine
 
Nuongo wewee unaangalia au ulishawahi kuangalia ndi maana wanakuletea izo,
 
Watu wanafki sana tik tok haina ubaya wowote me naitumia kucheki video nyingi napenda zile za wanyama mbwa wenye akili,,nyani..n.k.naungana na mtoa maada NI kweli za mashoga zinakyja randomly wakina choku mkenya aliye ulaya,Babu masweta,n.k

Mwana jf Atakayesema na Mimi shoga kwa kuwa na tiktok qmlamake
 
Wanazileta randomly basi tu
kiswanglish. Haziji random. Wana algorithim ambayo inatumia machine learning ku recommend nini kije based on your preferences and browsing behaviours.

Kiswahili. Haziji hovyo hovyo. Wanazileta kwa kufuata mtiririko maalumu unaotumia tekinolojia ya akili bandia inayo jifunza kwa kuzingatia machaguo yako, na historia ya uangaliaji picha wako.
 
Wanajamii leo nimeaibika sana kwa kuonekana labda ninamichezo ya kula mashoga kumbe hata si kweli.

Ilikuwa hivi kuna demu mmoja hivi aliniomba simu acheki spesifications za simu basi nimempa kumbe yeye kaenda kufungua application ya TikTok ambayo mimi huwa naingia kuchek video za kuchekesha.

Sasa katika kufungua tu zile random post ya kwanza hadi ya tatu ni za mashoga, asianze kuropoka eti ndo michezo yangu yaani kaniabisha sana wakati hata sio.Nimeifuta na kufuta
Me nkiingia nakutana na madude ya kutisha
 
Hakika hutaacha kubisha ila ukweli unaujua
Mitandao ya kijamii inakujua kuliko marafiki ndugu na jamaa zako.

Unachokipendelea kukitafuta na kukiangalia kuanzia google hutaacha kukiona kwa apps nyingine zote za social media
Dawa ni kuacha kuangalia mashoga ili wasikuletee wengine

Wewe hujawahi kuitumia hiyo TikTok so hujui hata post zinaletwa vipi trust me hata leo ukifungua app ya TikTok kwako lazima hizo content ukute
 
Watu wanafki sana tik tok haina ubaya wowote me naitumia kucheki video nyingi napenda zile za wanyama mbwa wenye akili,,nyani..n.k.naungana na mtoa maada NI kweli za mashoga zinakyja randomly wakina choku mkenya aliye ulaya,Babu masweta,n.k

Mwana jf Atakayesema na Mimi shoga kwa kuwa na tiktok qmlamake

Mkuu kweli kabisa ila sasa watu washanihisi vibaya yaani jina lishachafuka
 
Wewe hujawahi kuitumia hiyo TikTok so hujui hata post zinaletwa vipi trust me hata leo ukifungua app ya TikTok kwako lazima hizo content ukute
🤣 tuko kwa ulimwengu wa BETA my dear utawadanganya hao hao wanafuatilia ushoga na video za kuchekesha
 
Mwanangu hiyo kazia ni shida sana yani kama wale kisura wa mbeya ndio wanafanya jua liwe kali ila fungua akaunti ilo uwe unablock hao mashoga mimi kipindi sina akaunti ndio zinakuja kuja baada ya kufungua akaunti ndio nikablock watu tupo tiktok kwa kuwachek wadada wenye misambusa ya kwendraaa na vichekesho
 
Back
Top Bottom