Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Kuna mwanangu siku moja alinipa nimrekebishie kitu Fulani kwenye simu yake nikakutana na Snapchat,nikamuuliza Mzee Baba hii kitu inafanya nn humu,akajibu demu wake ndy anaitumiaMkuu ukiachilia mbali mambo ya jinsiaz yani mimi sijui no ushamba, sijawahi tumia snapchat wala tiktok kabisa sio kwenye simu yanhu au hata kwenye kuifungua kwenye simu ya mtu mwingine. Sijawahi kuwa na mzuka wa kuitumia kabisa.
Nilimshangaa kinyama Ila sikutaka kumjaji sn..lkn Kwa kweli Mimi napata ukakasi sn endapo mwanaume kwenye simu yake ana apps za Snapchat na tiktok,hata Instagram tangu nipumizke maswala ya kupost graphics na inshu za printing za t-shirts,nimeacha kuitumia karibia mwaka sasa Kwa sababu ya umbea mwingi huko