TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

 
Tiktok ni muhimu kwa wakata viuno ila kwa watu wanatafuta contents za kuelimisha, kujifunza kitu kama tutorials za kurekebisha vifaa na na uzalishaji lazima YouTube iwe muhimu kwao.

Tiktok mtandao wa kujazana ujinga na upuuzi, vitu vya muhimu vichache
 
Tokotoko ndiyo nini?
 
Kuna siku npo dukani akaja mteja kununua bidhaa na amelipa anataka risiti ya efd. Muhusika wa sku zote hayupo.

Ilibidi nimpigie akashauri nizame youtube na kweli nikatoa risiti fresh tu.

Binafsi Youtube haina mpinzani. Hiyo Tiktok hata kuinstall sijawahi kuwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…