Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Soko litamshinda soon
Bado sana, educational contents zilizoko youtube hazina mpinzani , and youtube unachagua content gani unataka. Tiktok unasukumiwa makorokocho comeon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soko litamshinda soon
YouTube anakwenda kufa kifo cha mende
Kuna zile inspirational videos za wale machalii aaah kmmk unam-mute mtu anayepost hayo ma statusHaiwezekenani mtoto wa kiume unaangalia content za kichoko mi kwanza nikionaga video ina logo ya tiktok na skip kabisa
Unalinganishaje utube na vitu vya kijinga. Ticktock haina content yoyote ya maana zaidi imejaza mashoga na vitu vya kijingakijinga tu. Youtube hakuna mambo ya kipumbavu kama ilivyo ticktock.TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.
Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.
YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.
TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.
Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
Anaonekana ni mgeni au haelewi tuYouTube unai fananisha na Tiktok?? Seriously??
Haitokuja itokee hicho kitu kamwee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea sahihi YouTube ni ngumu kufa aiseeYoutube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Exactly, nilitaka kumjibu mleta mada ila maelezo yako yamemaliza kila kitu. DIY, kuna tutorials karibia kila angle ya maisha ni wewe tu na bundle yako uingie kujifunza, watu tumejifunzia vitu vingi youtube hadi basi. Binafsi hata hiyo tik tok sina.Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Hao mashoga mbona huwafiri sasa😂Unalinganishaje utube na vitu vya kijinga. Ticktock haina content yoyote ya maana zaidi imejaza mashoga na vitu vya kijingakijinga tu. Youtube hakuna mambo ya kipumbavu kama ilivyo ticktock.
Watu wanaotumia ticktock wengi ji kwa ajili ya kukata mauno, kutangaza ushoga, yaan hakuna content za maana utakuta kule ni ujingaujinga ndo umejaa na vitoto vya 2000 ndo vinasumbua sana kule. Huezikuta mtu mzima anaweka vitu kule sababu ina irrelevant contents zinazoendana ma utoto utoto mwingi
Nakubali asilimia miaYoutube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Umeandika ujinga mtupu, Tiktok ni TAKATAKA, iko pale kwaajili ya watu wenye upeo mdogo.TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.