TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

TikTok alipo sipo anajipanua kila siku alianza na video fupi sasa kaongeza ndefu kwahiyo tegemea mabadiliko makubwa sana, ndo kwanza mbichi ipe mwaka mmoja tena uone maajabu, msanii akitoa video anaanzia kwanza TikTok baadae huyo kwenye Itube sijui YouTube
Wacha ubushi we dogo, huwezi linganisha YouTube na mambo ya kitoto hayo. Tiktok ni yenu nyie watoto.
 
Mchina aliyeanzisha tiktok mjanja sana kaweka ili mataifa mengine yapoteze muda kunengua na kufanya ujinga ujinga ila kwa wachina tofauti,imeanzishwa kwao lakini hawaitumii kwakifupi wanatumia Douyin na content zao tofauti mule sio zakunengua na ujinga ujinga mwingine mfano kununua bidhaa n.k ukimkuta mchina ananengua tiktok ujue huyo kama aishi Nje ya China basi atakua mvietnam,kwao hadi WhatsApp unaingia kwa VPN haipo wana WhatsApp yao,,,
 
Hapo umekubali sasa kuwa hakuna mtu mshenzi duniani kama mbongo 😂
 
Nimecheka 😂😂😂😂😂, nyie majamaa bana daah... Ila tiktok kuna vyuma aiseee acha kabisaaa
Nilimfuna mzee mmoja kiongozi mkubwa sana kazama TikTok anachek kalio ndo tabia zao afu wakija hadharani wanajifanya TikTok ya kijinga kumbe ndo wanakopatia pisi
 
Mchina aliyeanzisha tiktok mjanja sana kaweka ili mataifa mengine yapoteze muda kunengua na kufanya ujinga ujinga ila kwa wachina tofauti,imeanzishwa kwao lakini hawaitumii kwakifupi wanatumia Douyin na content zao tofauti mule sio zakunengua na ujinga ujinga mwingine mfano kununua bidhaa n.k ukimkuta mchina ananengua tiktok ujue huyo kama aishi Nje ya China basi atakua mvietnam,kwao hadi WhatsApp unaingia kwa VPN haipo wana WhatsApp yao,,,
Wanatumia Wechat ...ni wajanja sana hawa jamaa wanainuana
 
Back
Top Bottom