Youtube ni mlima. Hauwezi kuuondoa labda unaweza kuupanda. Content za youtube huwezi kuzipata sehemu yoyote ile kwa pamoja. Kuna video kibao za programming kuanzia 2010 huko, documentaries, habari zote tokea kipindi hicho. You tube ni informative, educative and entertainment site. Usilinganishe ni hiyo tiktok ambayo imejaa mizaa na vichekesho kwa asilimia kubwa. Youtube watu wanajifunza mpaka kupika chapati, kushona nguo, kila aina ya skill unayoijua. Unaweza kusoma chochote kuhusu Mathematica au Chemistry, engineering, biology, languages nk