TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

Siku hizi mtu anagusa TikTok chap anaanza kufurahi, huko YouTube mpaka video ifungule sio leo, na matangazo kibao kama umeingia jumba la matangazo mamak
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu akiniuliza kama natumia tik tok hua naona ameelekeza dharau kubwa sana kwangu,kuna App kwa watu wanaojielewa hawawezi ku
zitumia kamwe,unakuta eti dume eti linatumia sijui Snap chat!

Tik tok ni ya watoto,wavulana na wale wadada watingisha makalio.
Mkuu mfano mimi app zangu bora ni hizi

*JamiiForums
*Telegram
*WhatsApp
*YouTube
*Quora

Hao sijui kina... tiktok, facebook, Snapchat, Instagram n.k huwezi kuvikuta kwenye simu yangu.
 
Mkuu mfano mimi app zangu bora ni hizi

*JamiiForums
*Telegram
*WhatsApp
*YouTube
*Quora

Hao sijui kina... tiktok, facebook, Snapchat, Instagram n.k huwezi kuvikuta kwenye simu yangu.
Facebook anaweza kubadilisha maisha yako hujajua tu
 
YouTube izidiwe na TikTok?? Hauko serious!
Itazidiwa kwasababu kila kijana anatumia TikTok na idadi ya vijana duniani ndo kubwa, wanaitumia YouTube ni wazee, ukishaona wewe ni mtumiaji wa YouTube jua hapo ushazeeka tayari
 
Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
👍🤜🤛
Nice comment
 
Discussions nyingi za wabongo mwisho wa siku lazima zigawanyike kwenye ushabiki wa pande mbili au Team mbili

Hamuwezi kujadili vitu bila kutengeneza ushabiki wa ki team?
Hapa naona kuna Team TikTok na Team YouTube. Bullshit

Kwanini msitazame data zinasema nini?

YouTube ina MAU, Billions 2.2, maana yake watu tofauti tofauti zaidi ya Billion 2 wanatumia YouTube kila mwezi, wakati TikTok ina MAU Billions 1.09 tu

Pia kuna watu wanai diss TikTok kuwa ni mtandao wa wanawake na masho.....

Hawa hawafahamu Algorithm iliyo nyuma ya TikTok na nini inafanya

Kama ni mtu unayependa serious contents, hii algorithm itaku connect za contents na watu wa namna yako, just like tu au tazama mpaka mwisho au zaidi ya mara moja videos zenye mahudhui unayopenda.

Kuna information muhimu TikTok ambazo hazipo YouTube, inategemea unaitumia vipi
 
Back
Top Bottom