James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Nimesema inakuja kwa Kasi. Hata wasanii wa YouTube hutangaza content zao TikTok. Wao wameanzisha kitu Cha tofauti na you tube ila kupata wateja wanaowahitaji. Nafkiri baadaye watarekebisha vitu vingi. Ingawa aliyeanza ameanza. Lakini china kama china imejitahidi ku msaka us ktk technolojiaTiktok huwa naifananisha na Instagram ila siyo YouTube. Nilipakua app ya tikitok ikabidi niifute tu. Uchafu mtupu, kama unapenda mambo ya ovyo ovyo ingia Tikitok, instagram, facebook. Mtu anaimba wimbo wa Amelowa wa Harmonize huku na kichupi. Youtube unakula copyright strike.
Youtube ni kisima cha maarifa. Kama una mambo yako, weka Youtube kwanza content zako zinakuwa copyright, hayupo mtu anayetumia jasho la mwenzake. Ukifikisha watch hours 4000 na subscribers 1000 unaanza kula hela. Tikitok unalipwa?
Usirudie tena kuifananisha Youtube na Tikitok, utachekwa.