TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

TikTok inagaragaza YouTube iliyokuwa ikisumbua kwa miaka mingi

TikTok alipo sipo anajipanua kila siku alianza na video fupi sasa kaongeza ndefu kwahiyo tegemea mabadiliko makubwa sana, ndo kwanza mbichi ipe mwaka mmoja tena uone maajabu, msanii akitoa video anaanzia kwanza TikTok baadae huyo kwenye Itube sijui YouTube
Hio tigo yako naona haipo sawa
 
Mtu ni mfanyabiashara kauza 5M asubuhi mpaka jioni, usiku anaingia TikTok anaburudika wewe unamwona fala hapo umepotea baba, wengi sana wanaotumia TikTok ni watu na kazi zao kwa siku wanauza mpaka 20M kwahiyo anapoingia TikTok unadhan boya labda. Usikariri watu, hata huyo aliyeandika kula uzi kimasihara unaezakuta ni mmiliki wa Hotel kubwa ila ukamchukulia poa anavyoburudisha watu.
Weww unauza Bei gani

Watumiaji tiktok Ni choka mbaya nawajua vizuri
 
Tiktok amelenga kundi la wajinga, na ogopa sana kundi hili maana ndio huwa linatumika kuwachagua hata viongozi.
Nakusahihisha kuwa unaposema TikTok ni ya wajinga labda kwenu bongo, kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani, Japan, China haitumiwi na wajinga kama wenu😀
 
Nakusahihisha kuwa unaposema TikTok ni ya wajinga labda kwenu bongo, kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani, Japan, China haitumiwi na wajinga kama wenu
Hivi mfano tiktok nikitaka kujua "function of Extra Tank (ET) in space shuttle" inaweza kunipa majibu hadi nikaridhika nijihisi nilihudhuria lecturer?
Youtube ni likitabu fulani likubwa lenye kila kitu, unafungua ukurasa unaotaka.
 
We jamaa mjinga sana, yani unaifananisha youtube na ushoga tok pumbavu sana, nimesoma mpaka page 3 wachangiaji wote wanakupinga. Kana wewe ni mwanaume qmmae unaelekea qutombwa au ushatombw** tik tok ?! Mwanaume anaisifia tik tok ?! Nigga fu*ck you bit*ch ass
 
TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.

Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.

YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.

TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.

Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
Malipo yapoje huko tiktok.
Vijana wana angalia pesa ilipo sio umaarufu wa mtandao.
 
Nikataka kufahamu kuhusu jambo lolote naingia you tube nimejua kutengeneza mabomu kupitia you tube huko tiktok naonaga tu sehemu ya watu ya kuonyesha mapaja na makalio yao na maisha yao.kwa sisi tunaopenda vitu kama documentaries na maarifa na mengineyo ya maana You Tube inatufaa sana
 
TikTok na YouTube hazipo category moja ya social media/social network. Ni sawa na kufananisha ndege na gari, zote ni namna za usafiri ila tofauti kabisa.
 
Nikataka kufahamu kuhusu jambo lolote naingia you tube nimejua kutengeneza mabomu kupitia you tube huko tiktok naonaga tu sehemu ya watu ya kuonyesha mapaja na makalio yao na maisha yao.kwa sisi tunaopenda vitu kama documentaries na maarifa na mengineyo ya maana You Tube inatufaa sana
Ila boss papuchi si unaitaka lakini?
 
Back
Top Bottom