Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Acha kufananisha xvideos na upumbavu tiktok labda tik took vs rahaleo.blogspot.comTiktok fananisha na xvideos, vimeo na wengine, youtube hana mshindani kwa aina ya content zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufananisha xvideos na upumbavu tiktok labda tik took vs rahaleo.blogspot.comTiktok fananisha na xvideos, vimeo na wengine, youtube hana mshindani kwa aina ya content zake
Hio tigo yako naona haipo sawaTikTok alipo sipo anajipanua kila siku alianza na video fupi sasa kaongeza ndefu kwahiyo tegemea mabadiliko makubwa sana, ndo kwanza mbichi ipe mwaka mmoja tena uone maajabu, msanii akitoa video anaanzia kwanza TikTok baadae huyo kwenye Itube sijui YouTube
Weww unauza Bei ganiMtu ni mfanyabiashara kauza 5M asubuhi mpaka jioni, usiku anaingia TikTok anaburudika wewe unamwona fala hapo umepotea baba, wengi sana wanaotumia TikTok ni watu na kazi zao kwa siku wanauza mpaka 20M kwahiyo anapoingia TikTok unadhan boya labda. Usikariri watu, hata huyo aliyeandika kula uzi kimasihara unaezakuta ni mmiliki wa Hotel kubwa ila ukamchukulia poa anavyoburudisha watu.
Nyie Ni mafukara another part of tiktokWe kweli hujui unachosema, ni wapi kwenye matajiri wengi kama TikTok wakionesha dharau ya pesa zao? Upo nyuma sana
Nakusahihisha kuwa unaposema TikTok ni ya wajinga labda kwenu bongo, kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani, Japan, China haitumiwi na wajinga kama wenu😀Tiktok amelenga kundi la wajinga, na ogopa sana kundi hili maana ndio huwa linatumika kuwachagua hata viongozi.
Nakusahihisha kuwa unaposema TikTok ni ya wajinga labda kwenu bongo, kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani, Japan, China haitumiwi na wajinga kama wenu😀Tiktok amelenga kundi la wajinga, na ogopa sana kundi hili maana ndio huwa linatumika kuwachagua hata viongozi.
Hivi mfano tiktok nikitaka kujua "function of Extra Tank (ET) in space shuttle" inaweza kunipa majibu hadi nikaridhika nijihisi nilihudhuria lecturer?Nakusahihisha kuwa unaposema TikTok ni ya wajinga labda kwenu bongo, kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Marekani, Japan, China haitumiwi na wajinga kama wenu
Haya mdau 😄😄😄Acha kufananisha xvideos na upumbavu tiktok labda tik took vs rahaleo.blogspot.com
Malipo yapoje huko tiktok.TikTok imekuja kummaliza kabisa YouTube aliyekuwa akisumbua kwa miaka mingi. YouTube hana mvuto kwasasa kila simu ya kijana anayefahamu nini maana ya utandawazi basi ana App ya TikTok kwenye simu yake.
Wengi wanajitahidi ku Uninstall App ya YouTube ila bahati mbaya inakuja Pre Installed kwenye simu za Android isingekuwa hivyo basi YouTube ingeshafutwa kwenye simu za vijana wengi.
YouTube ni mbovu kwenye impression haiwezi kusukuma video za Creators kwa watazamaji automatically mpaka promotion itumike wakati TikTok inapeleka content mbele ya watazamaji automatically ilimradi uwe na content nzuri.
TikTok kusumbuliwa Marekani kwamba itazuiwa hiyo ni njama ya YouTube kutaka kumng'oa kwasababu ya yeye kupoteza mvuto sokoni hapendwi tena.
Natabiri kifo cha YouTube kwa siku zijazo hilo halina ubishi TikTok akitaka kummaliza kabisa YouTube aruhusu Video za mpaka lisaa limoja au zaidi pia aboreshe mfumo wa malipo makubwa kwa Creators hapo YouTube atakufa kabisa.
Twitter naye yupo kwenye mpango wa kummaliza YouTube kwa kuruhusu Video ndefu.
Ila boss papuchi si unaitaka lakini?Nikataka kufahamu kuhusu jambo lolote naingia you tube nimejua kutengeneza mabomu kupitia you tube huko tiktok naonaga tu sehemu ya watu ya kuonyesha mapaja na makalio yao na maisha yao.kwa sisi tunaopenda vitu kama documentaries na maarifa na mengineyo ya maana You Tube inatufaa sana
Aisee sana tu jamaa yanguIla boss papuchi si unaitaka lakini?