one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,303
- 1,901
Tatizo watu wenye maarifa makubwa hawako Tik-Tok. Ushawahi kuona mjadala gani wa, watu wa maana una link ya TikTok?
Ni suala la mda tu .Tiktok is still growing na kwa walivyo creative wataipiku youtube.
Asia (china ,japan ,korea) kuna watu ambao wako very creative kwa sasa western (europe ,USA) wanahangaika sana kukabili ubunifu na ushindani wa hawa watu katika kila sekta.
Time will tell.
Ngoja tuone.